Habari yako msomaji wangu tuendelee kuhabarishana na kujuzana kuhusu haya mautundu na maujanja huku kwenye ulimwengu wa technology leo tuseme ku un-lock modem zetu leo ni mwisho kabisaaa sababu tunayo njia itakayotufanya tutumie line ya voda kwenye modem ya tigo au line yeyote kwenye modem yeyote bila hata kuifanyia un-lock fuata maelekezo haya utapata faida ya somo langu hili hatua za kufuata unachotakiwa ni kuwa na modem yeyote na line ya mtandao wowote unaotumika kwenye nchi uliyopo Download (pakua) nokia suite kwenye PC yako download hapa >>> http://nokia_pc_suite.en.downloadastro.com/download/ weka modem yako kwenye mashine yako funga software ya modem yako fungua program yako ya nokia pc kisha bofya sehemu iliyo andikwa "creat internet connection" itakuletea ujumbe huu "no device connected" bonyeza "sparner like icon" itakuonyesha modem yako bofya tena kwenye icon ili uweze kuset (kupanga) A