Skip to main content

Posts

Showing posts with the label mpya

PATA NAMBA YAKO YA NIDA ONLINE NIRAHISI SANA

  Download Your NIDA Number and Copy Online  Download Your National ID (NIDA), Nida Number,Namba ya NIDA,Download Your NIDA number | Copy Online, National ID (NIDA) – Kitambulisho cha Taifa,NIDA number online,NIDA Tanzania Download, NIDA form,NIDA Tanzania 2022/2023 Download Your NIDA number | Copy Online | National ID (NIDA) – Kitambulisho cha Taifa Many Tanzanians have been struggling to find NIDA numbers, NIDA numbers have been a challenge almost every time a Tanzanian citizen needs government or even government services Initially the initial procedure was a bit difficult for people to get NIDA number easily but now the Government of Tanzania has made things easier as you can get your NIDA number online, Read all the procedures on how to Get your NIDA number belo w Download Your National ID (NIDA)  2022 Download NIDA Number Kitambulisho ,  Many people have been wondering how to get NIDA numbers, Tanzania National Identity Card, Here is a very simple way that you can get National Ide

MWAMUZI AONDOLEWA KUCHEZESHA LIGI KUU VPL

Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi za Tanzania (Kamati ya Saa 72), imemwondoa Mwamuzi wa kati, Ahmada Simba katika orodha ya waamuzi  watakaochezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu wa 2016/2017. Hatua hii imefikiwa baada ya utetezi wa Mwamuzi Simba  kudai kwamba hakuona tukio la Mchezaji wa Young African, Obrey Chirwa ambaye alifunga bao ambalo hata hivyo, mwamuzi alilikataa na kumwonya mchezaji kwa kadi njano. Tukio hilo lilitokea katika mchezo ambao Young Africans walikuwa wageni wa Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Taifa, Machi mosi, mwaka huu. Katika hiyo ya njano ilikuwa ni ya kwanza kwa Chirwa ambayo hata hivyo kamati ya Saa 72 imeifuta kadi hiyo kwa mujibu wa kanuni ya 9 (8) baada ya Kamati ya Saa 72 haikupaswa kutolewa kwa Chirwa kwa sababu hakukuwa na kosa wala mazingira ya kuonywa. Kadi hiyo ilikuwa ni msingi wa kadi nyekundu baada ya Chirwa kufanya faulo ambayo aliadhibiwa tena kwa kadi ya njano hivyo kutolewa nje kwa mujibu wa taratibu. Kuf

FIFA YATOA VIWANGO VIPYA VYA SOKA

Shirikisho la Soka Duniani-FIFA kila mwezi kwa sasa limekuwa likitoa viwango vipya vya ubora duniani ambavyo vinaonyesha baadhi ya mataifa kupanda katika nafasi . Kwa upande wa orodha ya jumla, Argentina bado wameendelea kuwa vinara wakifuatiwa na Brazil katika nafasi ya pili huku mabingwa wa dunia Ujerumani wakiwa nafasi ya tatu. Kwa upande wa Afrika ; Uganda bado wanaendelea kuongoza kwa Afrika Mashiriki wakiwa nafasi ya 16 kwa Afrika na 74 duniani wakifuatiwa na Kenya waliopo nafasi ya 21 Afrika na 88 duniani wakati Rwanda wako nafasi ya 24 Afrika na 93 duniani na Burundi nafasi ya 41 Afrika na 139 duniani. Misri wao wameendelea kuwa vinara kwa kukwea kwa nafasi mbili zaidi hadi nafasi ya 20, wakifuatiwa na Senegal walioko nafasi ya 28 huku mabingwa wa michuano ya Mataifa ya Afrika Cameroon nao wakikwea kwa nafasi moja mpaka nafasi ya 32 duniani. Mabingwa wa Amerika Kusini Chile wapo nafasi ya nne na Ubelgiji ndio wanakamilisha tano bora kwenye orodha hizo. Tanzania imepanda kwa naf

ALIKIBA KAYAONGEA HAYA

Ni Interview aliyofanyiwa mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba kwenye kituo cha Radio cha Johannesburg South Africa kiitwacho Trans Africa Radio NET, Alikiba alihojiwa kuhusu ishu mbalimbali zikiwemo za muziki wake na maisha…  hii video hapa chini ina kila kitu. ULIPITWA?  Hii hapa chini ni Full Video ya Alikiba akitumbuiza Durban South Africa wiki iliyopita

tutanchukulia hatua aliyempa makonda kwanja

Lukuvi kumchukulia hatua aliyempa kiwanja Makonda. Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara aliyemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda eneo kwa ajili ya viwanda kwa kuwa eneo hilo sio lake ni mali ya serikali."Sitaki ardhi itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu," alisema Lukuvi. Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara aliyemkabidhi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Pau l Makonda eneo kwa ajili ya viwanda kwa sababu eneo hilo si lake ni mali ya Serikali. “Sitaki ardhi itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu,”amesema Lukuvi leo (Jumatatu) katika mkutano na waandishi wa habari. Lukuvi amesema anataka watu wote wanaomiliki maeneo mijini kujisalimisha kwa maofisa ardhi wa wilaya wa ajili ya uhakiki. Chanzo: Mwananchi