Ni Interview aliyofanyiwa mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba kwenye kituo cha Radio cha Johannesburg South Africa kiitwacho Trans Africa Radio NET, Alikiba alihojiwa kuhusu ishu mbalimbali zikiwemo za muziki wake na maisha… hii video hapa chini ina kila kitu.
ULIPITWA? Hii hapa chini ni Full Video ya Alikiba akitumbuiza Durban South Africa wiki iliyopita
Post a Comment