Skip to main content

Posts

Showing posts with the label ganda

MWAKYEMBE; ALIKIBA NA DIAMOND KWANGU WATAKAA PAMOJA

wazili wa sanaa utamaduni habari na michezo mwakyembe amewaomba watanzania kushikamana kwa pamoja katika kukuza sanaa na michezo nchini ikiwemo kuichangia timu ya vijana serengeti boys waziri mwakyembe ameipongeza kamati ya maandalizi iliyoteuliwa na aliyekuwa waziri wa wizara hiyo mh Nape Nauye, akamati hiyo inaundwa na wasanii wenye upinzani katika musiki, Alikiba na Diamond pamoja na watu wengine waliochaguliwa                                                 tazama hapa

KIINGILIO CHASHUSHWA KUIONA TAIFA STARS ZIDI YA BOTSWANA WIKI HII

Taifa Stars – timu ya Tanzania ya mpira wa miguu kwa mwaka 2017 inaingia uwanjani kucheza na Botswana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mechi ya kirafiki ya kimataifa katika wiki ya kalenda ya FIFA. Kwa umuhimu wa mchezo huo na hamasa ambayo uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania umeona hivyo TFF imeatangaza kushusha bei ya kiingilio kwa watu watakaokaa mzunguko kutoka Sh 5,000 hadi Sh. 3,000. “Wavutieni Watanzania wakaishangilie timu yao, wekeni viingilio vya bei ya chini ambayo Mtanzania itamweka katika mazingira ya kuchangia gharama kidogo kwa timu. Toeni hiyo Sh 5,000 yenu. Wekeni angalau Sh. 3,000,” ameagiza Rais wa TFF, Jamal Malinzi. Pamoja na punguzo hilo kwa mashabiki wa mpira wa miguu watakaoketi Majukwaa Maalumu – VIP “A” watalipia Sh 15,000 na wale watakaoketi VIP “B” na “C” watalipia Sh 10,000. Kocha Mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga kwa upande wake aliwathibitishia Waandishi wa Habari kwamba kikosi chake kiko imara kwa ajili ya mchezo huo utakaofanyika

BEFFTA AWARD YA LONDON WASIFU MASHABIKI WA ALIKIBA

Wandaaji na watayarishaji wa tuzo huko nchini uingereza wametoa pongezi kwamashabiki wa alikiba #kingkiba kwa kuonyesha mapenzi yakweli kwa staa wao, kupitia mtandao wao wa instagram wameandika maneno yakuwapongeza mashabiki hao ambao huonyesha ushilikiano katika upigaji kura, hili ni jambo la kujivunia kwa mashabiki hao lakini wanapaswa kuongeza juhudi katika utazamaji wa video za msanii wao huko YouTube na vevo

WENGER ZUNGUMZIA MKATABA WAKE

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema klabu hiyo imesitisha kwa muda mazungumzo kuhusu mikataba ya Alexis Sanchez na Mesut Ozil hadi mwisho wa msimu. Mshambuliaji wa Chile Sanchez na kiungo wa kati wa Ujerumani Ozil, wote wenye umri wa miaka 28, wamesalia na chini ya miaka miwili kwenye mikataba yao. Wenger amesema tayari amefanya uamuzi wake kuhusu mustakabali wake Arsenal, lakini bado hajatia saini mkataba wa miaka miwili aliopewa na klabu hiyo. "Kwa sasa hatujaafikiana," Wenger alisema kumhusu Sanchez. Akiongea na BeIn Sports, Mfaransa huyo wa umri wa miaka 67 alisema: "Tumeamua kuangazia mwisho wa msimu na tuandae mazungumzo majira ya joto. "Hali ni sawa kwa Ozil, kwa sababu unapokosa kupata makubaliano na mashauriano bado yanaendelea, hilo si jambo jema. "Ni vyema kuketi na kuiangazia majira ya joto." Haki miliki ya picha REX FEATURES Arsenal wameshuka hadi nambari sita Ligi ya Premia baada ya kushindwa mechi nne kati ya tano walizocheza karibuni za

MTU MMOJA AFANYA SHAMBULIZI UINGEREZA

Mtu ambaye polisi wanaamini alihusika na shambulio la kigaidi katika eneo la Westminister ametambuliwa rasmi kuwa Khalid Masood, kulingana na wapelelezi wa Scotland Yard. Masood mwenye umri wa miaka 52 alizaliwa katika eneo la Kent na wapelelezi wanaamini kwamba alikuwa akiishi Midlands magharibi. Masood hakuhusishwa katika uchunguzi wowote na hakuna ripoti yoyote ya upelelezi kuhusu mipango yake ya kutaka kutekeleza shambulio, kulingana na polisi.

MSWADA WA SHERIA YA AFYA YA MAREKANI WACHELEWA KUPGIWA KURA

kupiga kura juu ya sheria mpya ya huduma za afya ya Rais Donald Trump katika Baraza la Wawakilishi imechelewa. kuahirishwa ni kurudi nyuma kwa rais ambaye alisisitiza angeweza kushinda idadi kulipitisha kwenye chumba chini ya Congress juu ya Alhamisi. American Sheria za Afya ni nia ya kuchukua nafasi ya sehemu ya sheria Rais Barack Obama saini za afya. Kufuta na kuondoa kinachojulikana Obamacare na ubao mkubwa wa kampeni za uchaguzi Mr Trump. Wengi Kiongozi Kevin McCarthy alisema kuwa Republican bado kuwa mkutano Alhamisi jioni lakini kwamba mpango sasa ilikuwa kwa ajili ya Nyumba ya kura siku ya Ijumaa, baada ya mjadala. rasmi Ikulu alisema kuwa "kura itakuwa asubuhi ili kuepuka kupiga kura katika 3:00 ... Tunahisi hii lazima kufanyika katika mwanga wa mchana, si katika masaa ya usiku na tuna uhakika muswada huo utapita Asubuhi". House Minority Kiongozi Nancy Pelosi alisema Bw Trump alifanya "hitilafu rookie kwa kuleta hii ,

DOWNLOAD NAMBIE YA HARMONIZE

DOWNLOAD NYIMBO MPYA HAPA

BARNABA AWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE

Barnaba amefunguka kuhusiana na mahusiano yake na mama Steve kwa sasa. Wiki chache zilizopita muimbaji huyo alidaiwa kuachana na mzazi mwenzake huyo ambaye wamefanikiwa kupata mtoto mmoja. Akiongea kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, hitmaker huyo wa Lover Boy amesema, “Kwa sasa siko kwenye maelewano mazuri na mama watoto wangu. Sio kwamba tumeachana au tumetengana sitaki kusema hivyo.” “Siwezi kusema simpendi mwanamke niliyepata nae mtoto [mama Steve],yule ameshakua kama ndugu yangu.Namrespect sana mama Steve ila kila mtu anaendelea na maisha yake na hatutaki kutengeneza picha mbaya kwa mwanetu,” ameongeza. Wakati huo huo Barnaba amesisitiza kuwa wimbo wake mpya wa ‘Lonely’ ambao ameuachia leo haujamgusa mtu yoyote na wala hausiani na maisha yake.

MCHEZAJI WA ZAMANI WA LIVERPOOL AFARIKI

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Liverpool na nahodha ambaye pia aliwahi kuwa kocha  Ronnie Moran amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83, Moran alichezea klabu hiyo mechi 379 kati ya mwaka 1952 na 1966. Alikuwa mfanyakazi aliyehudumia klabu hiyo kwa muda mrefu zaidi alipostaafu 1999. Alijiunga na benchi la wakufunzi Liverpool mwaka 1966 na mara mbili alihudumu kama meneja wa muda – baada ya Kenny Dalglish kujiuzulu 1991 na Graeme Souness alipofanyiwa upasuaji wa moyo 1992. Moran akiongoza Liverpool fainali ya Kombe la FA 1992 walipowashinda Sunderland Wembley Mwanawe wa kiume amethibitisha kwamba alifariki mapema Jumatatu baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alihudumu chini ya mameneja tisa tofauti alipokuwa benchi la kiufundi. Ronnie Moran (kulia) na Gerry Byrne wakisherehekea kushinda kikombe cha ubingwa wa ligi dhidi ya Arsenal 1964 Aliwaongoza Liverpool fainali ya Kombe la FA wanjani Wembley mwaka 1992 akiwa meneja wa muda meneja wao Souness alipokuwa anapata nafuu baada ya kufanyiwa u

MWAMUZI AONDOLEWA KUCHEZESHA LIGI KUU VPL

Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi za Tanzania (Kamati ya Saa 72), imemwondoa Mwamuzi wa kati, Ahmada Simba katika orodha ya waamuzi  watakaochezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu wa 2016/2017. Hatua hii imefikiwa baada ya utetezi wa Mwamuzi Simba  kudai kwamba hakuona tukio la Mchezaji wa Young African, Obrey Chirwa ambaye alifunga bao ambalo hata hivyo, mwamuzi alilikataa na kumwonya mchezaji kwa kadi njano. Tukio hilo lilitokea katika mchezo ambao Young Africans walikuwa wageni wa Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Taifa, Machi mosi, mwaka huu. Katika hiyo ya njano ilikuwa ni ya kwanza kwa Chirwa ambayo hata hivyo kamati ya Saa 72 imeifuta kadi hiyo kwa mujibu wa kanuni ya 9 (8) baada ya Kamati ya Saa 72 haikupaswa kutolewa kwa Chirwa kwa sababu hakukuwa na kosa wala mazingira ya kuonywa. Kadi hiyo ilikuwa ni msingi wa kadi nyekundu baada ya Chirwa kufanya faulo ambayo aliadhibiwa tena kwa kadi ya njano hivyo kutolewa nje kwa mujibu wa taratibu. Kuf

RAFU ALIYOFANYIWA TOREZI HADI KUCHUKULIWA NA AMBURANCE UWANJANI

Staa wa soka wa kimataifa wa  Hispania  anayeichezea  Atletico Madrid,  Fernando Torres usiku wa March 2, 2017 alishtua mashabiki wa soka na wachezaji wenzake kufuatia kupata jeraha kichwani na kufanya kila mchezaji aliyepo uwanjani kushtuka na jeraha hilo. Torres,  ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha  Atletico Madrid  kilichocheza na  Deportivo la Coruna  katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1, alilazimika kukimbizwa hospitali na ambulance kufuatia kuumia kichwani na kupoteza fahamu baada ya kugongwa na  Alex Bergantinos  dakika ya 85. Taarifa kutoka Hospitali ambayo staa huyo wa zamani wa  Liverpool  na  Chelsea  aliyezichezea timu hizo kwa nyakati mbili tofauti, amepata fahamu na  Atletico  wameripoti kuwa atakuwa katika uangalizi wa daktari kwa usiku wote huu.