Mabingwa wa Uingereza klabu ya Chelsea, rasmi wametangaza jezi mpya za nyumbani na ugenini watakazotumia msimu mpya wa 2017/2018.

Jezi hizo zenye chapa ya kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike imezinduliwa kwa mara ya kwanza klabuni hapo katika historia ya miaka yake 112

Jezi ya nyumbani

Jezi ya ugenini
Post a Comment