Ticker

6/recent/ticker-posts

CCM YAPATA UGENI KUTOKA CHADEMA

..Image may contain: 1 person, standing
Image may contain: 2 people
Leo 09 April 2017 Viongozi wa CHADEMA wilayani Ilemela wamehamia CCM...Katika Mkutano wake wa ndani akiwa Ziarani Mkoani Mwanza ambapo Viongozi hao wa Chadema, BAVICHA na BAWACHA wa Wilaya ya Ilemela wameelezea kuchoshwa kwao dhidi ya Ukiukwaji wa Demokrasia, Ufisadi na Dhuluma ndani ya CHADEMA.
CHADEMA kimeendelea kukiuka misingi ya kidemokrasia ndani ya chama na hata ndani ya bunge. Mifano ya hivi karibuni tukumbushane tu Mbowe aliwapoka wanachama haki ya kugombea na kuchaguliwa ktk bunge la Afrika Mashariki na badala yake akaja na majina yake mawili mfukoni ( Wenje na Masha).
Lakini pia mkoani Kilimanjaro Mbowe amevuraga mchakato wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ili ampe zawadi Mzee Ndesamburo "ndesapesa". Kanda ya Nyanza demokrasia ilinyongwa ambapo Peter Msigwa alipewa zawadi ya uenyekiti makamanda wakisalia kulalama wasiwe na la kufanya. Mifano ni mingi kwa leo imetosha.
"CHADEMA KINAHUBIRI UNYWAJI WA MAJI HUKU MBOWE ANAKUNYWA MVINYO"

Post a Comment

0 Comments