
- Kwa wastani au uwezo wa chini kabisa, ila bado mafanikio yanawezekana- Jacob Geit Dekker.
- Uwezo ni jambo dogo pasikuwa na fursa – Napoleon Bonaparte.
- Pekee yetu tunaweza kufanya kiasi, ila kwa pamoja tunaweza kufanya zaidi – Lowell Thomas.
- Usiruhusu kile usichoweza kufanya kuingilia kile unachoweza kufanya – John Wooden.
- Kila mtu ana kipaji – Erica Jong.
- Hakuna kisichowezekana katika moyo wenye nia ya dhati – John Heywood.7. Matamanio hutengeneza nguvu – Raymond Hollingwell.
Post a Comment