Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2020

tumia rain ya mtandao wowote kwenye mordem yako bila ku un lock

Habari yako msomaji wangu tuendelee kuhabarishana na kujuzana kuhusu haya mautundu na maujanja huku kwenye ulimwengu wa technology leo tuseme ku un-lock modem zetu leo ni mwisho kabisaaa sababu tunayo njia itakayotufanya tutumie line ya voda kwenye modem ya tigo au line yeyote kwenye modem yeyote bila hata kuifanyia un-lock fuata maelekezo haya utapata faida ya somo langu hili hatua za kufuata unachotakiwa ni kuwa na modem yeyote na line ya mtandao wowote unaotumika kwenye nchi uliyopo Download (pakua) nokia suite kwenye PC yako download hapa >>> http://nokia_pc_suite.en.downloadastro.com/download/ weka modem yako kwenye mashine yako funga software ya modem yako fungua program yako ya nokia pc kisha bofya sehemu iliyo andikwa "creat internet connection" itakuletea ujumbe huu "no device connected" bonyeza "sparner like icon" itakuonyesha modem yako bofya tena kwenye icon ili uweze kuset (kupanga) A

ijue libre office program mbadara ya microsoft office

Tumeshaandika kuhusiana na huduma za Microsoft Office, hasa kama unataka kutumia huduma hiyo bure kwa kutumia mtandao, kama ulipitwa soma  hapa.  Sasa kama unataka kutumia huduma za kuandika document au kuandaa kazinge kama hizo kwa njia zingine mbadala utafanyaje? Kaa ukijua huduma hizi mbadala zinasapoti huduma/mafaili yote ya  Microsoft Office, spreadsheet, na presentation kwa aslimia 100. Kwa kifupi ni kwamba utakua kama unatumia tuu huduma za microsoft office. Muonekano wa programu ya Office kwa njia ya mtandao Leo TeknoKona inakupa maujanja juu ya jinsi ya kutumia huduma hizo. LibreOffice ni ya bure kabisa, ina huduma zote zinazopatikana katika Microsoft office. Uzuri wake ni kwamba inaweza kutumiwa katika kompyuta ya aina yeyote kama vile Mac, Windows na Linux. Libre Office inakuja na mjumuhisho wa programu nyingine mbalimbali muhimu kama unazokutana nazo kwenye Microsoft Office Soma Zaidi Kuhusu Libre Office hapa –  Teknokona/libreoffice Apple iWork  nayo ni ya