Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2019

Je, waweza kulipia kila herufi kupiga soga mtandaoni?

Haki miliki ya picha EXPENSIVE CHAT Je, kwa wewe mtumiaji wa simu ya mkononi na mitandao ya kijamii, umeshawahi kuwaza idadi ya herufi unazoandika katika mawasiliano kwa jamaa na marafiki zako au kutoa maoni au mawazo yako mitandaoni kuwa ipo siku huenda usimudu gharama yake?. Marc Kohlbrugge mjasiliamali wa mitandaoni ameanzisha ukurasa wa kupigia soga maarufu kama 'chat room', ambapo gharama yake kwa kuandika herufi moja ni kiasi cha dola 0.01 sawa na shilingi 23 za kitanzania kwa herufi moja. Marc amesema kuwa alianzisha ukurasa huo kama majaribio yake mtandaoni, lakini amesema mwitikio wake umekuwa mkubwa kwani hadi sasa ana watu 100 ambapo hadi sasa wamekwisha mlipa kiasi cha dola 335 sawa na shilingi 785,000 za kitanzania, kwa herufi 33,0500 ambazo wamekwisha zilipia. Suala la kupiga soga lilivyo zoeleka kwa sasa katika nchini za Afrika, Afrika Mashariki ikiwemo, sidhani kama kuna mtu anayeweza kumudu gharama,maana wapo watu ambao,tangu asubuhi hadi jioni kwa ucha

Tetesi za soka Jumamosi 23.03.2019: Sancho, Coutinho, Salah, Dybala, Kroos, Mbappe

Haki miliki ya picha EPA Image caption Manchester United na Paris St-Germain wote wanamuwania Jadon sancho Manchester United na Paris St-Germain wote wameazimia kuweka dau la kitita cha £70m kwa ajili ya mshambuliaji wa England na Borussia Dortmund Jadon Sancho. (Sun) Barcelona wako tayari kumuuza Mbrazili forward Philippe Coutinho ikiwa watapokea ofa ya zaidi ya £90m, licha ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26-year atataka kubakia katika La Liga club. (ESPN) Image caption Mchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester United Ander Herrera anatumai kukukubali kusaini mkataba mpya na klabu hiyo ingawa Paris St-Germain wanamtaka Juventus wanajiandaa kumtoa Paulo Dybala kwa £44m ili wamchukue mshambuliaji wa Liverpool mwenye umri wa miaka 26 Mohamed Salah msimu ujao. (Tuttosport via Daily Mail) Tottenham wako tayari kumtoa mchezaji wa safu ya kulia nyuma Kieran Trippier na Serge Aurier msimu ujao. Everton wameibua tena nia yao kwa mlinzi wa England Trippier, mwenye umri wa miaka