Skip to main content

Tetesi za soka Jumamosi 23.03.2019: Sancho, Coutinho, Salah, Dybala, Kroos, Mbappe

Jadon sancho Mchezaji wa England na Borussia DortmondHaki miliki ya pichaEPA
Image captionManchester United na Paris St-Germain wote wanamuwania Jadon sancho
Manchester United na Paris St-Germain wote wameazimia kuweka dau la kitita cha £70m kwa ajili ya mshambuliaji wa England na Borussia Dortmund Jadon Sancho. (Sun)
Barcelona wako tayari kumuuza Mbrazili forward Philippe Coutinho ikiwa watapokea ofa ya zaidi ya £90m, licha ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26-year atataka kubakia katika La Liga club. (ESPN)
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester United Ander Herrera anatarajiwa kubakia Manuu
Image captionMchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester United Ander Herrera anatumai kukukubali kusaini mkataba mpya na klabu hiyo ingawa Paris St-Germain wanamtaka
Juventus wanajiandaa kumtoa Paulo Dybala kwa £44m ili wamchukue mshambuliaji wa Liverpool mwenye umri wa miaka 26 Mohamed Salah msimu ujao. (Tuttosport via Daily Mail)

Tottenham wako tayari kumtoa mchezaji wa safu ya kulia nyuma Kieran Trippier na Serge Aurier msimu ujao. Everton wameibua tena nia yao kwa mlinzi wa England Trippier, mwenye umri wa miaka 28, ambaye amebakiza miaka miwili ya mkataba wa sasa na kwa anathamani ya takribani £20m. (Sun)
Manchester United inaweza kusaini mkataba na mchezaji wa safu ya kati wa Real Madrid Toni Kroos kwa £50m msimu ujao. Mjerumani huyo mwenye umri wa miaka 29-alikubali kujiunga na Manchester United kutoka klabu ya Bayern Munich mwaka 2013, lakini badala yake akaenda Madrid mwaka 2014. (Sun)
Kibarua cha Frank Lampard kiko mashakaniHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionKibarua cha Frank Lampard kiko mashakani baada ya mmiliki wa klabu yake kuamua kuiuza
Manchester United wanajiandaa kumshawishi Napoli kwa dau kubwa kwa ajili ya mlinzi Msenegal Kalidou Koulibaly, 27. (Mirror)
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester United Ander Herrera anatumai kukukubali kusaini mkataba mpya na klabu hiyo licha ya Paris St-Germain kuonyesha nia ya kumtaka . (Daily Telegraph
Mchezaji huyo mwenye umri wamiaka 29- mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa msimu huu. (Daily Telegraph)
Manchester United wamegonga mwamba katika mazungumzo yao ya mkataba na mshambuliaji Herrera na Muhispania Juan Mata, mwenye umri wa miaka 30. Wote wanataka kuongezewa pesa ndio waaendelee kubakia Old Trafford, kiwango ambacho United hawako tayari kukitoa. (Mirror)
Gunners wameazimia kusaini mkataba na mchezaji safu ya kati wa miaka 22 raia wa Ivory Coast Franck Kessie kutoka AC MilanHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionGunners wameazimia kusaini mkataba na mchezaji safu ya kati wa miaka 22 raia wa Ivory Coast Franck Kessie kutoka AC Milan
Kibarua cha meneja Frank Lampard kiko mashakani kwa siku za usoni kwenye klabu yake baada ya mmiliki wa klabu yake Mel Morris kuazimia kubana matumizi kabla ya kuiuza klabu yake. (Times - subscription required).
Mchezaji wa safu ya ulinzi wa Arsenal Stephan Lichtsteiner anasema kuwa hana uhakika kama atakuwa kwenye klabu hiyo msimu ujao, licha ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 kutoka Uswisi anafanya mazungumzo juu ya mkataba wake mpya . (Sky Sports)
Mlindalango wa Real Madrid Mbelgiji Thibaut Courtois, anasema yeye ndie bado anashikilia nafasi ya kwanza duniani
Image captionMlindalango wa Real Madrid Mbelgiji Thibaut Courtois, mwenye umri wa miaka 26, anasema yeye ndie bado anashikilia nafasi ya kwanza duniani
Wakati huo huo Gunners wameazimia kusaini mkataba na mchezaji safu ya kati wa miaka 22 raia wa Ivory Coast Franck Kessie kutoka AC Milan. (Tuttomercato - in Italian)
Mlindalango wa Real Madrid Mbelgiji Thibaut Courtois, mwenye umri wa miaka 26, anasema yeye ndie bado anashikilia nafasi ya kwanza duniani na amevishutumu vyombo vya habari vya Uhispania kwa "utaka kumuua". (El Espanol via Goal)
Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Rui Costa anaamini itakuwa vigumu kuendelea kuwa na mshambuliaji Mreno Joao Felix katika klabu hiyo. Manchester United, Juventus na Liverpool wanamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka. (Tuttosport - in Italian)

Comments

Popular posts from this blog

DOWNLOAD; nyimbo mpya ya alikiba #JOHOTENA

Jinsi ya ku-track simu yako na kujua mahali ilipo

Upotevu wa simu yako ni moja ya jambo baya watu wanalipata.Unaweza kuibiwa simu yako iliyokuwa imehifadhi data nyingi binafsi. Kwa msaada jinsi ya kupata simu yako iliyopotea, Google na Apple kwa pamoja wana njia za kufuatilia hili kutafuta mfumo wa simu yako. Jinsi ya kutafuta iPhone iliyopotea Ufumbuzi wake upo kwenye Find My iPhone.Huduma hii ina uwezo wa kukuonyesha kifaa chako chochote cha iOS Kupata uwezo juu ya iPhone yako,fuata hatua hizi; 1.Nenda kwenye setting/mpangilio wa iPhone yako 2.Shuka chini utakuta iCloud 3.Katika chini ya orodha bonyeza "Find My iPhone" 4.Kwenye Find My Phone switch on position 5.Ukiwa hapo ni wazo zuri ku-turn on send last  location Baada ya kuwezesha Find My iPhone,unaweza kuifuatilia vizuri simu yako iliyopotea na kuibiwa Jinsi ya kupata Android phone Kwa android ni tofauti kidogo na Apple.Google wameweka app yao kwenye Play store  na unaweza ku-download 1.Search Play Store "Android Device Manager" 2.Inst

Tumia simu yako kama mounse ya komputa

New Trick Habari za wakati huu msomaji wa Blog yako pendwa ya  DODY BLOG ! Katika mfululizo wa makala za wiki hii, leo tutaangalia jinsi ya  KUTUMIA   simu yako hio ya  SmartPhone kama  Mouse  ya kompyuta. FAIDA >>>Hii inaweza kukusaidia pale ambapo hauna Mouse kwa ajili ya compyuta yako, au  TouchPad  ya Laptop yako haifanyi kazi! Yani  inasumbua! MAHITAJI >> Utahitajika kuinstall program na App ntakazokupa hapa chini! Unaweza kutumia Apps mbalimbali na step ni hizihizi.  Host file utaiinstall kwenye kompyuta yako na App utaiweka kwenye simu yako, halafu utaunga compyuta yako kwenye wireless ya simu yako au bluetooth!  (Lengo la kuunga ni kuweka mawasiliano kati ya simu na kompyuta). kwa hio unaweza kutumia  Bluetooth au Wireless!  Zote ni sawa ila hapa nitaelezea Wireless. HATUA KWA HATUA 1.   Download na install  Monect  kwenye simu yako  HAPA! Install Monect Portable 2. Kwenye PC yako download na install  Monect Host  kwa kuclik  HAPA