
kocha wa manchester united asiyeishiwa maneno mourinho amesema ameamua katika kusaka ubingwa wa europa champion league kocha huyo ameyasema hayo baada ya jana kuibuka na ushindi wa magori 3-0 yaliyofungwa na fellain, lingad na valencia, kutokana na ushindi huo wa jana man u wamefanikiwa kung'oka mtaa wa 6 kama mashabiki anavyosema kutokana na kukaa katika nafasi hiyo zaidi ya siku 100
Post a Comment