Raisi dr john magufuri leo tarehe 20 ameweka jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa barabara za katika eneo la ubungo, dar salaam. katika mazungumzo yake raisi ameweza kuongelea inshu iliyotrend kwa muda mrefu kuhusu hatima ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam, raisi magufuri amesema
''Watanzania ninafahamu mna uhuru wa kuzungumza, nawaomba tujielekeze kwenye vitu vya maendeleo, tunajielekeza zaidi kwenye udaku,
''Tujielekeze katika mambo ya maendeleo, tutajenga nchi yetu, hayo ndio mawazo yangu'''' Nawaomba watanzania kampeni zimeshakwisha ulie lakini Rais ni Magufuli, mimi kwangu ni hapa kazi tu, maendeleo''
''Mimi huwa sionyeshwi njia, tayari nimeshaonyeshwa na chama changu''
HAYO NI MANENO YA RAISI DR MAGUFURI, NINI MAONI YAKO
TUPE MAONI YAKO
Post a Comment