Tuliona wakirushiana maneno sana kwenye kampeni zao kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Rais kwenye taifa la Marekani wakiwa ni Wapinzani wawili, tuliona jinsi ushindi wa Trump ulivyostaajabisha mamilioni ambao hawakutarajia kilichotokea.
Sasa pamoja na yote hayo, pamoja na Hillary kushindwa… yeye na mume wake Bill Clinton walihudhuria kuapishwa kwa Donald Trump na baadae kwenye hafla ambapo baada ya Rais Trump kutambua uwepo wao, akaomba watu wote waliomo ndani wasimame, hii video hapa chini ina kila kitu.
Post a Comment