Ticker

6/recent/ticker-posts

West Brom yamtimua kocha wake

West Brom imechukua maamuzi ya kumfuta kazi meneja Tony Pulis baada ya miaka mitatu akiwajibika, kufuatia klabu yake kupokea kichapo cha 4-0 dhidi ya Chelsea siku ya Jumamosi.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 59 anaacha jukumu lake kwa kuwa alishinda mara mbili tu katika michezo 21 ya mwisho ya ligi..

West Brom hawaja shinda katika ligi tangu Agosti 19 na Pulis kachana na  klabu hiyo baada ya karibu miaka mitatu akiwa na jukumu la ukocha,

Mwenyekiti John Williams alisema: "Maamuzi haya hayakufikiwa hayapendezi hata kidogo lakini daima kwa maslahi ya klabu hiyo.

"Sisi ni katika biashara ya matokeo ya juu ya mwisho  wa msimu uliopita na msimu huu hadi sasa, hali yetu imekuwa yakukatisha tamaa sana.

"Tungependa kuweka kumbukumbu kwenye shukrani yetu ya mchango wa Tony na kazi ngumu wakati wa mpito kwa klabu hiyo ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya umiliki. Tunampenda tunamtakia kila la kheli
katika juhudi zake za baadaye."

Post a Comment

0 Comments